Vikosi vya jeshi la Nigeria Jumapili alfajiri vililvamia nyumba ya Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Washia wa nchi hiyo katika mkoa wa Zaria jimboni Kaduna, na hatimaye kumtia mbaroni kiongozi huyo wa kidini.
Habari ID: 3463089 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/14